Ayubu Lungwa - Yesu Yuko Malangoni (Official Video)
Ayubu Lungwa
0:00 / 0:00
Ayubu Lungwa - Yesu Yuko Malangoni (Official Video)
197 просмотров · 2 недели назад
Ayubu Lungwa
7 подписчиков
197 просмотров · 2 недели назад
Karibu kwenye Official Video ya wimbo mpya wa Ayubu Lungwa unaoitwa "YESU YUKO MALANGONI" 🙏
Wimbo huu ni ujumbe mzito wa matumaini na mwaliko wa toba. Yesu anabisha hodi mlangoni mwa moyo wako, je utamfungulia? Umeandaliwa kwa msingi wa Ufunuo 3:20
"Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake..."
Ikiwa ujumbe huu umekugusa, usisahau ku LIKE, ku COMMENT neno la baraka na ku SHARE kwa ndugu na jamaa.
SUBSCRIBE HAPA ILI USIPITWE NYIMBO ZAKE:
👉 / @ayubulungwagospel
Mawasiliano / Booking za Huduma:
Simu: +255 694 609 065
WhatsApp: +255 694 609 065
Facebook / Instagram / TikTok: @AyubuLungwa
Asante kwa support yako, Mungu akubariki sana!
#AyubuLungwa #YesuYukoMalangoni #GospelTanzania #NyimboZaInjili #OfficialVideo #GospelMusicTZ #Injili