HII KALI! KIJANA Anayetumia TAKATAKA Kutengeneza MAPAMBO ya MAUA Aapa Kufungua KIWANDA KIKUBWA...
Global TV Online
0:00 / 0:00
HII KALI! KIJANA Anayetumia TAKATAKA Kutengeneza MAPAMBO ya MAUA Aapa Kufungua KIWANDA KIKUBWA...
6 782 просмотра · 5 лет назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
6 782 просмотра · 5 лет назад
HII KALI! KIJANA Anayetumia TAKATAKA Kutengeneza MAPAMBO ya MAUA
Global Tv Online imefika katika eneo la Geza Ulole Kigamboni Jijini Dar se Salaam na Kukutana na Kijana Paul Pastory ambaye amaeamua kujiajiri kwa kufanya ubunifu wa maua kwa Kutumia makopo ya maji pamoja na Chupa za Vinywaji.
Aidha wakati akifanya mazungumzo na Global Tv Kijana huyu amesema ana ndoto yakuwa na Kiwanda cha Utengenezaji wa Maua ya Plastiki kama ilivyo sera ya Serikali ya awamu ya Tano yakutengeza Tanzania ya Viwanda...
Imeandaliwa na Felista Massae na Hussein Manane...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline