Перейти к содержимому

MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA LUSHOTO AMPONGEZA DC KWA KUANDAA KIKAO CHA WADAU WA KILIMO W,LUSHOTO

Lushoto Plus+

0:00 / 0:00

MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA LUSHOTO AMPONGEZA DC KWA KUANDAA KIKAO CHA WADAU WA KILIMO W,LUSHOTO

179 просмотров · 2 года назад
Lushoto Plus+
1,38 тыс. подписчиков
179 просмотров · 2 года назад
Hayo aliyazungumza mwenyekiti wa Ccm wilaya ya lushoto mhe,Ally kasim dafa wakati akitoa salam zake katika kikao kazi cha alichokiandaa mkuu wa wilaya ya lushoto mhe,JAPHARI KUBECHA MGHAMBA. Hata hivo katika kikao hicho mkuu wa wilaya alikerwa sana na wakala wa usambazaji wa mbolea na pembejeo za kilimo kwa kucheleweshea wakulima pembejeo hizo na mbolea. Nae Yasin Bila ambae ni mhe,diwani wa kata ya lunguza amempongea mkuu wa wilaya kwa kuandaa kikao kazi hicho na kutoa maelekezo juu ya upatikanaji wa mbolea kwa wakati,makusema kua kama mzabuni huyo wa pembejeo hizo ameshindwa kazi basi wapewe vyama nya ushirika tenda hio. SIKILIZA FULL VIDEO...