Перейти к содержимому

Marafiki ninawaaika__ KURASINI SDA CHOIR

L.e.w.i.s.k.y

0:00 / 0:00

Marafiki ninawaaika__ KURASINI SDA CHOIR

2 842 просмотра · 1 мес. назад
L.e.w.i.s.k.y
299 подписчиков
2 842 просмотра · 1 мес. назад
Sing along Marafiki ninawaalika na hata majirani sikilizeni Karamu imeandaliwa ukumbi wake upo juu angani sikiliza wapambaji nimalaika wametangulia kuandaa Wamevikwa mavazi meupe wakiwa na Yesu Kazi yangu ikiisha duniani nitapopaa juu mbinguni Tukikutana kwenye meza ya fahari tukiimba na Bwana Yesu (marafiki) Marafiki majirani tukutane salamu za kimbingu mbingu Alfajiri si ya kufananishwa kamwe huzuni zetu zitakoma Tusipoona na duniani tujue siku moja tutaonana Hatutatengana tena hapo ni mwisho milele milele (na milele) Piga vita vita vizuri ukisubiri taji yako Tukutane katika ukumbi ulio angani