Перейти к содержимому

SIRI YA KUDUMU KWENYE KIBALI CHA WANADAMU | DISCIPLE LEWIS

Reality of Christ Arusha

0:00 / 0:00

SIRI YA KUDUMU KWENYE KIBALI CHA WANADAMU | DISCIPLE LEWIS

120 просмотров · 6 месяцев назад
Reality of Christ Arusha
2,95 тыс. подписчиков
120 просмотров · 6 месяцев назад
Katika mafundisho haya kutoka Reality of Christ Church Arusha (ROC Arusha), utajifunza mambo muhimu ya kufanya unapokuwa kwenye eneo la baraka zako. Watu wengi wanapokea baraka lakini hawajui jinsi ya kuzisimamia, kuzilinda na kuzidumisha. Ujumbe huu unafunua siri muhimu zitakazokusaidia kutembea kwa hekima, uaminifu na bidii ili usipoteze kile ambacho Mungu amekupa. Haya ni mafundisho ya muhimu kwa yeyote anayetaka kuona mafanikio endelevu na kuishi katika baraka za Mungu kwa muda mrefu. Kama umebarikiwa na ujumbe huu, like, share na subscribe ili usikose mafundisho mengine yenye nguvu.