Перейти к содержимому

VINTAGE BOLLYWOOD (SWAHILI EDITION) - Vol. 1

Choni

0:00 / 0:00

VINTAGE BOLLYWOOD (SWAHILI EDITION) - Vol. 1

188 просмотров · 2 недели назад
Choni
18 подписчиков
188 просмотров · 2 недели назад
. 🇰🇪 MIAKA YA THEMANINI — BOLLYWOOD EDITION | VOLUME 1 | BY CHONI Kumbuka zile siku za Kenya ya zamani? Jumamosi usiku, Picha za Kihindi, mpira, mabasi za Nyayo, NYS, Mbukinya, Kirenga na OTC… na maisha bila WhatsApp, Facebook ama internet. 😄 Hii ni safari ya kurudi Miaka ya Themanini — enzi tulipokaa pamoja kwa TV, tukafuatilia Picha za Kihindi hata kama hatukuelewa Hindi, tukabishana kuhusu mpira, na tukafurahia maisha kwa vitu vidogo. Kutoka Nairobi hadi mashambani, Nyayo Tea Zone hadi Picha za Walk-in, hizi ni kumbukumbu za Kenya tuliyokulia. Choni anakuletea Miaka ya THEMANINI — Bollywood Edition, Volume 1. Sio muziki tu… ni kumbukumbu. Sio kumbukumbu tu… ni maisha tuliyopitia. Kwa Wakenya wa zamani, na kizazi kinachotaka kujua tulikotoka.