Перейти к содержимому

Faida za kufunga kula chakula kiafya (FASTING) kwa wiki 1 mfululizo haya ndio yanakutokea mwilini!!

Mshani Wellness

0:00 / 0:00

Faida za kufunga kula chakula kiafya (FASTING) kwa wiki 1 mfululizo haya ndio yanakutokea mwilini!!

7 322 просмотра · 2 года назад
Mshani Wellness
104 тыс. подписчиков
7 322 просмотра · 2 года назад
Kufunga kula chakula kwa wiki 1 mfululizo kuna faida nyingi kiafya kuliko unavyofikiria. Moja ya faida kubwa za kufunga ni kuimarisha insulin sensitivity, chanzo kikuu cha tatizo la uzito mkubwa na kisukari. Video hii inaelezea kwa kina faida za kufunga kula chakula. Unashauriwa kuweka mazoea ya kufunga mara kwa mara ili kuimarisha afya yako kwa ujumla. Follow us on: Facebook:   / mshaniwellness   Instagram:   / mshani_wellness   Twitter(X):   / mshaniwellness   TikTok: https://www.tiktok.com/@mshani_wellne... Contact: 0743039890