Перейти к содержимому

KIMEUMANA CHADEMA WATOA MSIMAMO MZITO KUVUJA HUKUMU YA TUNDU LISSU KIFUNGO CHA MIAKA 5 JELA

UHURU MEDIA ONLINE

0:00 / 0:00

KIMEUMANA CHADEMA WATOA MSIMAMO MZITO KUVUJA HUKUMU YA TUNDU LISSU KIFUNGO CHA MIAKA 5 JELA

12 434 просмотра · 16 ч назад
UHURU MEDIA ONLINE
352 тыс. подписчиков
12 434 просмотра · 16 ч назад
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimetoa msimamo wa chama baada ya kudai uwepo wa mpango wa kutoa hukumu ya kifungo cha miaka 5 jela kwa mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mh Tundu Lissu huku taarifa zikidai huo ni mpango unaolenga kuhakikisha Mh Tundu Lissu anafungwa kwa muda ambao utamzuia kushiriki Kikamilifu katika maandalizi na mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2030 pamoja na kuendelea kutekeleza majukumu yake ya uongozi ndani ya chama akiwa kama Mwenyekiti wa Chama Taifa, msimamo huo umesomwa na naibu katibu mkuu wa Chadema Tanzania Bara Mh Sam Aman Golugwa kuelekea hukumu ya Kesi ya Uhaini inayomkabili Mh Tundu Lissu 6 November 2026 katika mahakama kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam #tundulissu #chadema #chadematanzania #mahakama #hukumu #ndunguru