Перейти к содержимому

NDEGE 10 ZA KIVITA ZA MAREKANI ZATUA ISRAEL - HOFU YA VITA NA IRAN YAONGEZEKA TENA MASHARIKI YA KATI

Global TV Online

0:00 / 0:00

NDEGE 10 ZA KIVITA ZA MAREKANI ZATUA ISRAEL - HOFU YA VITA NA IRAN YAONGEZEKA TENA MASHARIKI YA KATI

7 866 просмотров · 6 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
7 866 просмотров · 6 ч назад
NDEGE 10 ZA KIVITA ZA MAREKANI ZATUA ISRAEL - HOFU YA VITA NA IRAN YAONGEZEKA TENA MASHARIKI YA KATI Marekani imeripotiwa kupeleka ndege 10 za kijeshi zilizobeba zana na vifaa vizito vya kivita katika kambi za jeshi nchini Israel, huku kukiwa na hofu ya kuongezeka kwa mvutano na uwezekano wa mashambulizi mapya dhidi ya Iran. Katika video hii, Global TV inaangazia undani wa taarifa hizi, aina ya ndege na mifumo ya ulinzi inayodaiwa kupelekwa (ikiwemo THAAD na Patriot), pamoja na operesheni za kijeshi zinazoripotiwa katika nchi za Jordan, Saudi Arabia, na Qatar. #marekani #Israel #Iran #GlobalTVOnline #HabariZaKimataifa ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com