#RealTalk: Ukweli na uzushi kuhusu matumizi ya njia za uzazi wa mpango
#ElimikaWikiendi
0:00 / 0:00
#RealTalk: Ukweli na uzushi kuhusu matumizi ya njia za uzazi wa mpango
176 просмотров · Трансляция закончилась 8 дней назад
#ElimikaWikiendi
65 подписчиков
176 просмотров · Трансляция закончилась 8 дней назад
Kwenye kampeni ya wiki hii ndani ya REAL TALK, tunaweka kando 'story za mtaani' na kuzungumzia UKWELI na UZUSHI kuhusu njia za uzazi wa mpango!
Wataalamu wetu watachambua kila kitu kinachosemwa mtaani na mitandaoni, kukutenganishia ukweli na uzushi, na kukupa elimu sahihi kabla ya kuchagua njia inayokufaa.
🎙️ Mwongozaji: Irene Ngugo
🗣️ Mzungumzaji: Christina Mwakisole - Mtetezi wa Afya ya Uzazi
🗣️ Mzungumzaji: Dkt. Katanta Lazarus Simwanza -
Mtaalamu Mwandamizi wa Ushauri Afya ya Uzazi, Familia na Usimulizi wa Hadithi
🗣️ Mzungumzaji: Mashingo Lerise - Mtaalamu wa Afya ya Ujinsia na Uzazi (SRHR),
Meneja wa Mawasiliano ya Mabadiliko ya Tabia na Kijamii (SBCC), Marie Stopes International (Tanzania)
🗓️ 12 Septemba 2026
⏰ Saa 4:00 Asubuhi (EAT)
📍 TUTAKUWA LIVE YOUTUBE
Wewe ni uvumi gani uliwahi kuusikia mtaani ukakutisha? Usikose kufuatilia #RealTalkShow
#ElimikaWikiendi #AfyaYaAkili #TaarifaSahihi