Перейти к содержимому

#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotengeneza Mabomba (Pipes) za Kisasa

Xtreme Media

0:00 / 0:00

#MadeinTanzania Kiwanda Kinachotengeneza Mabomba (Pipes) za Kisasa

11 260 просмотров · 6 лет назад
Xtreme Media
10,6 тыс. подписчиков
11 260 просмотров · 6 лет назад
Wiki hii utaweza kujionea kiwanda ambacho kinatengeneza pipe za size zote, katika teknolojia ya High-density polyethylene (HDPE) ambayo inapatikana Tanzania tu kwa upande wa East Africa. Huu ni mbadala tosha katika kutengeneza mabomba makubwa imara yenye teknolojia ya kisasa, ambayo hutumika katika kutengeneza chemba za maji safi na maji taka badala ya zege ambayo inavunjika. Location: Plasco Limited Tanzania Plot no 112, Mbozi road, Chang’ombe Dar es Salaam +255-22-2199820 , +255 717 752 726, +255 686 350 543 www.plasco.co.tz Usikose kufuatilia Made in Tz Show katika Clouds TV Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku: Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio). SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!