Mpakani TV /Hatuwezi toka kwa serikali kuunda serikali/
Mpakani TV
0:00 / 0:00
Mpakani TV /Hatuwezi toka kwa serikali kuunda serikali/
60 просмотров · 2 недели назад
Mpakani TV
667 подписчиков
60 просмотров · 2 недели назад
Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula, anawahimiza wananchi kuendelea kuunga mkono chama cha Ford Kenya na kushiriki kikamilifu katika kuunda mustakabali wa nchi. Pia aliwahimiza wananchi wa Kimilili wenye sifa za kupiga kura kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.