IMARA F1 MBEGU PEKEE INAYOWEZA KUVUMILIA WADUDU WA KANTANGAZE
lucas maziku
0:00 / 0:00
IMARA F1 MBEGU PEKEE INAYOWEZA KUVUMILIA WADUDU WA KANTANGAZE
37 639 просмотров · 7 лет назад
lucas maziku
2,21 тыс. подписчиков
37 639 просмотров · 7 лет назад
Mbegu Imara F1 inayozalishwa na kusambazwa na kampuni ya East West Seeds ya mkaoni kilimanjaro ni mbegu pekee yenye kuvumilia wakati wa mvua nyingi imekuwa kimbilio la wakulima wengi hasa wa mikoa ya Nyanda za juu Kusini nchini Tanzania