PETE YA JINI SALI SALI Filamu mpya duniani
SAUTI YA SIFA FILMS
0:00 / 0:00
PETE YA JINI SALI SALI Filamu mpya duniani
184 просмотра · 2 мес. назад
SAUTI YA SIFA FILMS
4,8 тыс. подписчиков
184 просмотра · 2 мес. назад
Usiokote kila kitu unachokikuta njiani! 😱
Kijana mmoja anakutana na pete ya ajabu katikati ya barabara. Anapoamua kuitupa, milango ya ulimwengu wa majini inafunguka na mtego mkali wa *Jini Sali Sali* unaanza. Je, atawezaje kupona kwenye mikono ya jini huyu anayemfuata kila hatua?
Tazama simulizi hii ya kutisha hadi mwisho kujua kilichomtokea!
🔔 Subscribe kwenye channel yetu ya SAUTI YA SIFA FILMS kwa mambo mengi zaidi!
#trending #mpya #teacher sauti ya sifa #memkwaschool #bigbos #dunia #mahigizo