Перейти к содержимому

LATRA: JINSI YA KUPATA TIKETI ZA MABASI YA MKOANI MTANDAONI

BizTV Tanzania

0:00 / 0:00

LATRA: JINSI YA KUPATA TIKETI ZA MABASI YA MKOANI MTANDAONI

7 929 просмотров · 5 л. назад
BizTV Tanzania
10,2 тыс. подписчиков
7 929 просмотров · 5 л. назад
“Tiketi Mtandao” zitaanza kutumika Januari 6, 2021 na abiria wanaosafiri kwenda mikoani kwa usafiri wa basi. Je, unajua wapi pa kuipata tiketi yako mtandaoni? Je, unajua nini cha kufanya kama unapandia njiani? Je, unajua njia zipi ambazo zinaanza kutumia “tiketi mtandao”? Meneja Mradi wa Tiketi Mtandao kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Bw Tadei Z. Mwita amezungumza na BizTV na kuyajibu maswali haya. YALIYOMO: 0:00 Mwanzo 0:22 Majukumu ya mamlaka 1:25 Kuhusu utafiti wa usafirishaji 2:15 Kiini cha wazo la tiketi mtandao 2:35 Jinsi ya kupata tiketi mtandaoni 3:48 Cha kufanya kama huna “simu janja” 4:31 Faida za tiketi mtandao kwa wasafirishaji 7:30 Faida za tiketi mtandao kwa abiria 9:13 Faida za tiketi mtandao kwa serikali 11:00 Changamoto za mfumo 11:43 Njia zinazoanza kutumia tiketi mtandao 13:16 Utaratibu kwa abiria wanaopandia njiani 13:53 Utaratibu kwa abiria wa safari za dharura