Jinsi ya Kutumia Layers kwenye Photoshop Adobe Photoshop Beginner Course Kiswahili
Joel Media
0:00 / 0:00
Jinsi ya Kutumia Layers kwenye Photoshop Adobe Photoshop Beginner Course Kiswahili
1 172 просмотра · 2 месяца назад
Joel Media
18,8 тыс. подписчиков
1 172 просмотра · 2 месяца назад
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video Production, Website Design, Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini
Tuma Ujumbe Whatsapp ✅️: http://wa.me/+255745152680
Wasiliana nasi: +255 745 152 680 au +255 627 150 780
Karibu kwenye Somo la 3 la Adobe Photoshop Beginner Course kwa Kiswahili.
Katika video hii utajifunza moja ya vitu muhimu zaidi kwenye Adobe Photoshop kinachoitwa Layers. Ukiielewa Layers, itakuwa rahisi kuhariri picha, kupanga vitu kwenye design na kutengeneza posters za kitaalamu.
Katika somo hili utajifunza:
✔ Layer ni nini?
✔ Jinsi Layers zinavyofanya kazi (Stack Concept)
✔ Kutengeneza New Layer
✔ Kufuta Layer
✔ Kupanga Layers (Arrange Layers)
✔ Eye Icon (Show & Hide Layers)
Practical Assignment:
• Kuongeza picha mbili kwenye project
• Kuongeza text
• Kupanga layers vizuri ndani ya Photoshop
Baada ya somo hili utaweza kutumia Layers kwa ujasiri na kuanza kutengeneza designs zenye mpangilio mzuri.
#PhotoshopKiswahili #PhotoshopLayers #AdobePhotoshop #PhotoshopTutorial #GraphicDesign #PhotoshopForBeginners #JoelMedia
Follow me on
Instagram: ✅️ https://bit.ly/3s2ca2z
Instagram: ✅️ https://bit.ly/4anDUPP
Facebook: ✅️ https://bit.ly/48ZjYTc
Email: ✅️ info@joelmediaeducation.com
00:00 Intro
00:38 Layer ni Nini?
02:10 Layers Panel
04:05 Layer Arrangement
07:45 Eye Icon (Visibility)
10:32 Opacity
14:20 Color & Visibility
17:40 Maswali 4 ya Layer Visibility
20:55 Rename Layers
23:40 Layer Thumbnails
26:10 Blending Modes
28:45 Delete Layer
29:55 Add New Layer
31:10 Group Layers
32:00 Outro