Перейти к содержимому

Jinsi ya Kutumia Adobe Photoshop Kwa Mara Ya Kwanza Beginner Tutorial Kiswahili

Joel Media

0:00 / 0:00

Jinsi ya Kutumia Adobe Photoshop Kwa Mara Ya Kwanza Beginner Tutorial Kiswahili

3 655 просмотров · 4 месяца назад
Joel Media
18,8 тыс. подписчиков
3 655 просмотров · 4 месяца назад
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video Production, Website Design, Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Tuma Ujumbe Whatsapp ✅️: @152680 Wasiliana nasi: +255 745 152 680 au +255 627 150 780 Karibu kwenye somo la kwanza la Adobe Photoshop kwa beginner kabisa. Ushawahi kufungua Photoshop ukaona tools nyingi ukachanganyikiwa? Hii video imeandaliwa kwa mtu anayeanza kutoka sifuri. Ndani ya somo hili utajifunza: ✔ Photoshop ni nini (practical use) ✔ Jinsi ya kufungua Adobe Photoshop ✔ Home Screen ya Photoshop ✔ Create New Project ✔ Instagram Sizes (1080x1080 & 1080x1350) ✔ Difference kati ya Pixels na CM ✔ Resolution (150 vs 300) kwa lugha rahisi ✔ RGB vs CMYK (Screen vs Print) ✔ Kufungua existing file Baada ya somo hili utaweza kufungua project yako ya kwanza kwenye Photoshop bila kuchanganyikiwa. Kozi hii ni FREE ENTRY COURSE kwa mtu yeyote anayetaka kujifunza Graphics Design kuanzia mwanzo mpaka aweze kutengeneza poster mwenyewe. Usisahau: • Subscribe • Like video • Comment swali lako • Washirikishe marafiki wanaotaka kujifunza Graphics Design #PhotoshopKiswahili #AdobePhotoshop #GraphicDesign #PhotoshopForBeginners #GraphicsDesignKiswahili #PhotoshopTutorial #JoelMedia #LearnPhotoshop #GraphicDesigner Follow me on Instagram: ✅️ @ Instagram: ✅️ @ Facebook​: ✅️ @ Email: ✅️ info@joelmediaeducation.com 00:00 Intro 00:52 Karibu kwenye Free Photoshop Course 02:10 Adobe Photoshop ni Nini? 05:45 Pixel ni Nini? 10:32 Photoshop Home Screen 13:15 Create New vs Open File 16:20 Workspace na Home Navigation 18:45 Recent Files 20:20 New Document 21:10 Presets Explained 24:05 Photo Presets 25:30 Print Presets 27:15 Web, Mobile & Film Presets 30:05 Preset Details 31:20 Width & Height 33:05 Pixels vs Centimeters 35:18 Instagram Size (1080×1080 & 1080×1350) 37:42 Portrait vs Landscape 39:25 Resolution (72, 150 & 300) 42:10 RGB vs CMYK 45:30 Create New Project 46:10 Photoshop Workspace 47:05 Tools Panel 49:10 Canvas 50:00 Panels 53:10 Customize Workspace 55:25 Photoshop Bars 56:00 Information (Status) Bar 56:55 Options Bar 58:10 Menu Bar 59:25 Assignment 59:55 Outro