Перейти к содержимому

Jinsi JWTZ, Kikosi cha Jeshi 977 Packers walivyoadhimisha Muungano

Azam TV

0:00 / 0:00

Jinsi JWTZ, Kikosi cha Jeshi 977 Packers walivyoadhimisha Muungano

10 229 просмотров · 4 г. назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
10 229 просмотров · 4 г. назад
Wanajeshi wa JWTZ, Kikosi Cha Jeshi 977 Packers, kilichopo Arusha leo Aprili 26, 2022 wamesherehekea miaka 58 ya Muungano kwa kufanya usafi katika Hospitali ya Kiloleni iliyopo jijini humo.