Перейти к содержимому

UCHAMBUZI | Iran haikujua nguvu ya makombora yake

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

UCHAMBUZI | Iran haikujua nguvu ya makombora yake

84 027 просмотров · 3 мес. назад
UTV Tanzania
182 тыс. подписчиков
84 027 просмотров · 3 мес. назад
Mchambuzi wa siasa za kimataifa, Ibrahim Rahbi, amesema Iran awali haikuwa imefahamu kikamilifu uwezo wa makombora yake hadi ilipoingia katika vita vya Twelve Days War dhidi ya Israel, hali iliyosababisha taifa hilo kuongeza juhudi za kuboresha na kuimarisha zaidi teknolojia yake ya kijeshi. Rahbi pia amelishutumu Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya uvunjwaji wa sheria za kimataifa zinazokataza kushambuliwa kwa vinu vya nyuklia, akidai kuwa Marekani na Israel zimekuwa zikilenga maeneo hayo bila kuadhibiwa licha ya kukiuka kanuni hizo.