Перейти к содержимому

Mnyika, Wakili Rugemeleza Nshala Wafunguka Nje ya Mahakama Sakata la CHADEMA Kuzuiwa Kufanya Siasa

The Chanzo

0:00 / 0:00

Mnyika, Wakili Rugemeleza Nshala Wafunguka Nje ya Mahakama Sakata la CHADEMA Kuzuiwa Kufanya Siasa

18 926 просмотров · 6 мес. назад
The Chanzo
262 тыс. подписчиков
18 926 просмотров · 6 мес. назад
Dodoma: Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema kuwa kesi ya zuio dhidi ya chama hicho kufanya shughuli za kisiasa ilikuwa na nia ovu, akidai kuwa ilikuwa ni mbinu ya CCM na mamluki baada ya kuona wamezidiwa na nguvu ya kampeni ya "No Reforms, No Election." Mwaka 2025, kesi ya madai ilifunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa.. Shauri hilo, Na. 8323/2025, liliwasilishwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, na linahusu zuio lililotolewa na Mahakama tarehe 10 Juni 2025, ambalo liliwazuia viongozi wa CHADEMA kufanya shughuli za utendaji pamoja na kutumia rasilimali za chama. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.