"HUWEZI KUUWA WOTE, TUVUMILIANE" - MWABUKUSI
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
"HUWEZI KUUWA WOTE, TUVUMILIANE" - MWABUKUSI
17 036 просмотров · 12 часов назад
TMC NEWS TV
42,1 тыс. подписчиков
17 036 просмотров · 12 часов назад
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS), Boniface Mwabukusi, amesisitiza umuhimu wa kuvumiliana na kujifunza kuishi na watu wenye mitazamo tofauti, akisema tofauti kubwa mara nyingi husababishwa na hofu na siyo tofauti za mawazo.
Mwabukusi amesema ni muhimu kujifunza ku-accommodate hofu za wengine, akieleza kuwa kwa kufanya hivyo, watu wenye mitazamo tofauti wanaweza kutafuta maeneo ya kushirikiana kwa maslahi ya taifa.
TMC NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#tmcnews565 #BonifaceMwabukusi #TLS #TanganyikaLawSociety #Siasa #SiasaTanzania #Tanzania #Uongozi #Umoja #Uvumilivu #Demokrasia #MaslahiYaTaifa #HabariTanzania