Перейти к содержимому

Majina yanaumba,usimpe mtu a.k.a ya maovu | UTV Tanzania

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Majina yanaumba,usimpe mtu a.k.a ya maovu | UTV Tanzania

254 просмотра · 5 дн. назад
UTV Tanzania
188 тыс. подписчиков
254 просмотра · 5 дн. назад
Mwanasaikolojia, Geofrey Mwamnyanyi amesema kisaikolojia majina ya utani wakati mwingine huakisi utendaji wa maisha ya mtu kwani hutengeneza mienendo na tabia ambazo zinaweza kuwa hasi au chanya. Mwamnyanyi ameshauri jamii kuzingatia majina ambayo wanatoa kwa watu kwasababu inaweza kuzalisha maafa.