Перейти к содержимому

KUIELEWA BIBLIA (SEHEMU YA XI) - Pastor Robert Mwaisaka.

Pastor Robert Mwaisaka

0:00 / 0:00

KUIELEWA BIBLIA (SEHEMU YA XI) - Pastor Robert Mwaisaka.

20 просмотров · 3 нед. назад
Pastor Robert Mwaisaka
90 подписчиков
20 просмотров · 3 нед. назад
Biblia ndio Mamlaka ya juu kabisa kwa mwamini inapokuja katika suala la kumjua Mungu, kwa kuwa hii ni kweli, kila mwamini anapaswa awe na ufahamu ni kwa nini Anapaswa aiamini Biblia bila kujali uwepo wa vitabu vingine vingi vya dini ambavyo vinadai kwamba vina taarifa za ufunuo wa Mungu. Katika mfululizo wa somo hili tunatazama sababu za Msingi kabisa zinazofanya Tuiamini Biblia kama msingi wa kifundisho kwa waamini. Kwa sababu hizi tunaitegemea na kuitetea kama chanzo maarifa kuhusu mungu.