Перейти к содержимому

#live 🔴 KARIBU KATIKA IBADA YA KIPEKEE | JUMAPILI 13|09|2026

PROPHET VINCENT

0:00 / 0:00

#live 🔴 KARIBU KATIKA IBADA YA KIPEKEE | JUMAPILI 13|09|2026

248 просмотров · Трансляция закончилась 7 дней назад
PROPHET VINCENT
2,58 тыс. подписчиков
248 просмотров · Трансляция закончилась 7 дней назад
MAELEZO YAKUFIKA KANISANI: Fika katika kituo cha Mbezi mwisho, kisha shuka kwenye kituo cha chini hili uweze kuchukua magari au bajaji zinazoelekea malamba mawili, panda 6gari au bajaji zinazoelekea malamba mawili. Hapo utamwambia konda au dereva akushushe kituo 1cha Osama. Ukifika kituo cha Osama ,fuata vibao hili uweze kufika kanisani61 RATIBA ZA IBADA: Jumanne: Kumuona Nabii kwa mtu mmoja mmoja .Kwanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni Alhamisi: Ibada ya maombii na maombezi kwanzia saa kumi jioni mpaka saa mbili usiku Jumapili: Ibada kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni.1