#live 🔴 KARIBU KATIKA IBADA YA KINABII | ALHAMIS 17|09|2026
PROPHET VINCENT
0:00 / 0:00
#live 🔴 KARIBU KATIKA IBADA YA KINABII | ALHAMIS 17|09|2026
126 просмотров · Трансляция закончилась 2 дня назад
PROPHET VINCENT
2,6 тыс. подписчиков
126 просмотров · Трансляция закончилась 2 дня назад
MAELEZO YAKUFIKA KANISANI:
Fika katika kituo cha Mbezi mwisho, kisha shuka kwenye kituo cha chini hili uweze kuchukua magari au bajaji zinazoelekea malamba mawili, panda 6gari au bajaji zinazoelekea malamba mawili. Hapo utamwambia konda au dereva akushushe kituo 1cha Osama. Ukifika kituo cha Osama ,fuata vibao hili uweze kufika kanisani61
RATIBA ZA IBADA:
Jumanne: Kumuona Nabii kwa mtu mmoja mmoja .Kwanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni
Alhamisi: Ibada ya maombii na maombezi kwanzia saa kumi jioni mpaka saa mbili usiku
Jumapili: Ibada kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni.1