MURUSI KASULU: Pastor akizungumza na vijana wa Kasulu siku ya kwanza ya semina - August 27
FPCT Shalom Temple Kahama
0:00 / 0:00
MURUSI KASULU: Pastor akizungumza na vijana wa Kasulu siku ya kwanza ya semina - August 27
957 просмотров · 8 л. назад
FPCT Shalom Temple Kahama
37,5 тыс. подписчиков
957 просмотров · 8 л. назад
August 27 2018 Pastor Six ameanza semina ya Neno la Mungu katika kanisa la FPCT Murusi wilayani Kasulu ambapo atakuwa hapo kwa muda wa siku sita akifundisha neno la Mungu kwa semin za ndani na mkutano wa nje,
August 27 siku ya kwanza ya semina ilikuwa ni semina kwa vijana wa kanisa hilo ambapo amezungumza na vijana wa kanisa hilo juu ya umuhimu wa kijana kufanya mambo huku wakijitathmini.