Перейти к содержимому

KASULU: Kanisa la FPCT lenye kuketisha watu 3000, litagharimu 649,000,000 lipo mtaa wa Shayo Kasulu

FPCT Shalom Temple Kahama

0:00 / 0:00

KASULU: Kanisa la FPCT lenye kuketisha watu 3000, litagharimu 649,000,000 lipo mtaa wa Shayo Kasulu

3 347 просмотров · 7 л. назад
FPCT Shalom Temple Kahama
37,5 тыс. подписчиков
3 347 просмотров · 7 л. назад
Ni kanisa linalochungwa na Pastor Dedani John makamu mchungaji kiongozi Local Church ya Kasulu mjini, lipo mpakani mwa Murusi na mtaa wa Shayo pale Kasulu mjini lina washirika 600+, ujenzi wake umeanza 2015 na wanategemea kumaliza 2022, mpaka kumalizika litagharimu Tzs 649,000,000/= (milioni miasita arobaini na tisa), lilipofikia limegharimu 165,000,000/= (milioni miamoja sitini na tano), litaketisha watu 2500 mpaka 3000, msikie msimamizi mkuu wa Ujenzi akizungumza.