Перейти к содержимому

'Madereva Fuateni Leseni Zenu' - Asema Waziri wa Mambo ya Ndani Katambi

The Chanzo

0:00 / 0:00

'Madereva Fuateni Leseni Zenu' - Asema Waziri wa Mambo ya Ndani Katambi

1 341 просмотр · 4 дня назад
The Chanzo
262 тыс. подписчиков
1 341 просмотр · 4 дня назад
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi ametoa wito kwa madereva kufuata leseni baada ya kushughulikia mashauri ya madereva hao ambao waliwasilisha malalamiko yao wakati wa changamoto ya Madereva wa Mabasi iliyotokea Tarehe 29/9/2026 maeneo mbalimbali nchini. Waziri Katambi ametoa kauli hiyo Oktoba 8, 2026 jijini Dar es Salaa baada ya kukutana na Uongozi wa Juu wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ukiongozwa na Naibu Waziri,Ayoub Mohammed Mahmoud ambapo pia Waziri Katambi amefafanua hatima ya madereva wengine waliobakia ambapo amewataka kufika Ofisi ya Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini kwa ajili ya taratibu za kisheria huku akiwataka madereva nchini kutii sheria na kanuni za usalama barabarani ili kuepusha madhara ya vifo na majeruhi. Amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa maelekezo yake katika kuziendea changamoto za madereva ambapo Wizara ilipokea maagizo hayo kupitia kwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/ Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.