Abdul Kitemo atema uchambuzi wa Azam FC dhidi ya ZED FC| 16/10/2026
Xtra 90 TV
0:00 / 0:00
Abdul Kitemo atema uchambuzi wa Azam FC dhidi ya ZED FC| 16/10/2026
59 просмотров · 2 нед. назад
Xtra 90 TV
94 подписчика
59 просмотров · 2 нед. назад
Mchambuzi wa soka Abdul Kitemo ametoa uchambuzi wake kuelekea mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika, ambapo matajiri wa Chamazi, Azam FC, watakuwa ugenini nchini Misri kuikabili ZED FC.
Azam FC inaingia katika mchezo huo ikiwa na dhamira ya kupambana kupata matokeo mazuri yatakayoipa nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.