Abdul Kitemo aipa Yanga nafasi kubwa ya kuifunga CFFA FC| 16/10/2026
Xtra 90 TV
0:00 / 0:00
Abdul Kitemo aipa Yanga nafasi kubwa ya kuifunga CFFA FC| 16/10/2026
62 просмотра · 2 нед. назад
Xtra 90 TV
94 подписчика
62 просмотра · 2 нед. назад
Mchambuzi wa soka Abdul Kitemo ameipa Yanga SC nafasi kubwa ya kupata ushindi dhidi ya CFFA FC ya Madagascar katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaochezwa kesho, Jumamosi.
Kitemo ametoa tathmini hiyo akizingatia kiwango cha sasa cha Yanga SC, akilinganisha na wapinzani wao, CFFA FC, huku akionekana kuwa na imani na uwezo wa kikosi cha Wananchi kupata matokeo mazuri katika pambano hilo.