Перейти к содержимому

Maadhimisho ya miaka 10 ya makumbusho ya kitamaduni Iringa.

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

Maadhimisho ya miaka 10 ya makumbusho ya kitamaduni Iringa.

198 просмотров · 2 дня назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
198 просмотров · 2 дня назад
Iringa Boma ni makumbusho ya kitamaduni yanayoangazia utamaduni wa kabila wenyeji wahehe na jamii nyingine za kusini mwa Tanzania, na namna urithi huo ulivyogusana na historia ya Ujerumanikatika kipindi cha ukoloni. Kupitia Sehemu muhimu ni simulizi ya vita vita vya Wahehe dhidi ya Wajerumani mwishoni mwa Karne ya 19 chini ya Uongozi wa Mangi Mkwawa ambavyo vilikuwa sehemu ya upinzani dhidi ya utawala wa kikoloni. Mwandishi wa DW Veronica Natalis amefanya mahojiano na Dr. Jan Kuver Mkurugenzi wa Iringa Boma na kwanza alimuuliza kwanini maonesho hayo yalianzishwa.