Перейти к содержимому

Huyu Ndiye Wakili Deogratius Mahinyila Mgombea Uenyekiti BAVICHA Taifa 2025 | Uchaguzi CHADEMA

The Chanzo

0:00 / 0:00

Huyu Ndiye Wakili Deogratius Mahinyila Mgombea Uenyekiti BAVICHA Taifa 2025 | Uchaguzi CHADEMA

2 954 просмотра · 1 год назад
The Chanzo
260 тыс. подписчиков
2 954 просмотра · 1 год назад
The Chanzo inakuletea mdahalo maalum wa wagombea wa nafasi ya uenyekiti ndani ya BAVICHA. Hii ni fursa ya kipekee kwa wagombea kujinadi, kueleza dira zao, na kujibu maswali muhimu yanayohusu mustakabali wa vijana katika siasa ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Usikose kuungana nasi katika mjadala huu wa wazi na wa kidemokrasia! Karibu sana. #BAVICHA #Uchaguzi2025 #TheChanzoUnaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved.