WAKULIMA WAELEZA MAFANIKIO WALIYOYAPATA KUPITIA ZAO LA KOROSHO
Cashewnut Board Of Tanzania
0:00 / 0:00
WAKULIMA WAELEZA MAFANIKIO WALIYOYAPATA KUPITIA ZAO LA KOROSHO
192 просмотра · 2 месяца назад
Cashewnut Board Of Tanzania
230 подписчиков
192 просмотра · 2 месяца назад
Hatua kwa hatua kuelekea msimu wenye mafanikio! Karibu katika makala hii maalum inayokupeleka moja kwa moja kwenye zoezi la ugawaji wa pembejeo za ruzuku kwa wakulima wa korosho, kujionea namna Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania inavyoendelea kuwezesha upatikanaji wa pembejeo hizi muhimu ili kuongeza tija, ubora wa korosho na kuinua kipato cha wakulima.
#KoroshoDhahabuYaKijani
#Agenda10/30KilimoNiBiashara