WAZIRI WA KILIMO AZURU MABONDE YA UMWAGILIAJI UNGUJA
kilimo tv
0:00 / 0:00
WAZIRI WA KILIMO AZURU MABONDE YA UMWAGILIAJI UNGUJA
22 просмотра · 7 дней назад
kilimo tv
490 подписчиков
22 просмотра · 7 дней назад
Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Mhe. Suleiman Masoud Makame, amefanya ziara katika mabonde ya Cheju, Uzini, Mchangani, Mayungi na Kilombero, Unguja, kwa lengo la kusikiliza changamoto za wakulima, kukagua utekelezaji wa maagizo na kutathmini utendaji wa watendaji.
Katika ziara hiyo, Waziri amepokea maoni ya wakulima na kutoa maelekezo kwa watendaji kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuboresha kilimo cha umwagiliaji na kuongeza uzalishaji.