WANAFUNZI WALIOTISHIA KUPORA WAUME ZA WATU WAJITOKEZA KUOMBA RADHI...
Global TV Online
0:00 / 0:00
WANAFUNZI WALIOTISHIA KUPORA WAUME ZA WATU WAJITOKEZA KUOMBA RADHI...
9 765 просмотров · 2 дня назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
9 765 просмотров · 2 дня назад
WANAFUNZI WALIOTISHIA KUPORA WAUME ZA WATU WAJITOKEZA KUOMBA RADHI...
Baada ya video yao kusambaa kwa kasi mtandaoni wakiwa na sare za shule na namba za mtihani huku wakitoa kauli zisizofaa kufuatia kuhitimu kidato cha nne, wanafunzi hao wamejitokeza hadharani kuomba radhi kwa jamii, walimu, serikali pamoja na Waziri Dorothy Gwajima.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, alikemea vikali mwenendo huo na kueleza kusikitishwa na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii miongoni mwa vijana.
Tazama video hii kwa undani kujionea walichokisema mabinti hao wakieleza majuto yao na kuomba msamaha kwa Watanzania.
Usisahau Ku-SUBSCRIBE, Ku-LIKE na Ku-SHARE kwa taarifa zaidi za kila siku kutoka Global TV Online.
#WaziriGwajima #WanafunziFormFour #KuombaMsamaha #GlobalTVOnline
#HabariTanzania
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com