Dennis Kimanga -Kaa nasi
Dennis Kimanga official
0:00 / 0:00
Dennis Kimanga -Kaa nasi
39 просмотров · 2 недели назад
Dennis Kimanga official
21 подписчик
39 просмотров · 2 недели назад
Kaa nasi ni wimbo wa kuabudu wa maombi kwa Mungu, akae nasi ili tuweze kuishinda dunia na vyote vilivyo ndani ya dunia, kwa sababu dunia imeharibika sana watu wamekuwa kama wanyama, shetani kapandikiza roho ya chuki, wivu, unafki husuda, ubinafsi, Kumwaga damu, ili kuwapoteza watu wa Mungu, kupitia wimbo huu imba pamoja nami kwa kumaanisha utabarikiwa nayale yasiyowezekana ndani yako yatawezekana.pia unaweza kunifatilia kwenye mitandao ya kijamii kama vile #facebook#tiktok #instagram kwa mualiko wasiliana nami kwa namba 0747000458 au +255737042238