Перейти к содержимому

Dennis Kimanga - Neno

Dennis Kimanga official

0:00 / 0:00

Dennis Kimanga - Neno

154 просмотра · 1 год назад
Dennis Kimanga official
21 подписчик
154 просмотра · 1 год назад
Mungu huwa anafanya njia mahali pasipo na njia, haijalishi ni wakati gani unao pitia yawezekana wewe ni mgonjwa, yawezekana una uhitaji ufanikiwe jambo flani, Nikutie moyo hakuna jambo lililo gumu mbele za Mungu, Muombe Mungu kwa imani na kwa bidii atafanya.pia naomba unifatilie katika mitandao ya kijamii utabarikiwa. #Facebook#istagram#tiktok na #telegram#twitter kwa majina ya #denniskimanga.