Juma Nature Alidanganya? Uhakiki wa Mashairi ya "Inaniuma Sana" na Stori za Mtaani
Fredrick Mulla
0:00 / 0:00
Juma Nature Alidanganya? Uhakiki wa Mashairi ya "Inaniuma Sana" na Stori za Mtaani
8 004 просмотра · 3 мес. назад
Fredrick Mulla
12,1 тыс. подписчиков
8 004 просмотра · 3 мес. назад
Kwenye Mistari Breakdown ya leo, tunarudi nyuma kwenye moja ya ngoma ngumu na ya kihistoria katika tasnia ya Bongo Fleva "Inaniuma Sana" ya nguli Juma Nature. Kwa miaka mingi, wimbo huu umechukuliwa kama wimbo wa mapenzi na maumivu, lakini ukweli ni kwamba ilikuwa ni diss track maalum kwenda kwa mpenzi wake wa zamani, Sinta.
Hata hivyo, kuna utata mkubwa na stori zinazojikanganya: Nani hasa aliwakutanisha? Je, ni marehemu Dida, rafiki yake Swebe, au Monica kama Nature anavyodai sasa? Kwanini mashairi yanasema Sinta ndiye aliyetongoza, lakini stori za nje zinasema tofauti? Na kwanini Sinta amechagua kukaa kimya kwa miaka yote hii? Ungana nami tukichambua upande usiosikika wa simulizi hii ya kihistoria. @jumanature4994