JAFARAI AANIKA YA SIRI - "UGOMVI WANGU NA Q CHIEF ULIKUWA WA KUTENGENEZA" - UKWELI KUHUSU P FUNK
Global TV Online
0:00 / 0:00
JAFARAI AANIKA YA SIRI - "UGOMVI WANGU NA Q CHIEF ULIKUWA WA KUTENGENEZA" - UKWELI KUHUSU P FUNK
1 255 просмотров · 3 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
1 255 просмотров · 3 ч назад
JAFARAI AANIKA YA SIRI - "UGOMVI WANGU NA Q CHIEF ULIKUWA WA KUTENGENEZA" - UKWELI KUHUSU P FUNK
Katika mahojiano haya ya kipekee na ya kusisimua, mkongwe wa Bongo Flava, Jafarai, amevunja ukimya wa miaka mingi na kufunguka ukweli mzito ambao haujawahi kusikika popote!
Kutoka kwenye siri nzito nyuma ya bifu lake maarufu na Q Chief, alivyoshirikiana na P Funk Majani kutengeneza kiki zilizotikisa nchi, hadi ukweli kuhusu uhusiano wake na mastaa wengine wa tasnia. Jafarai hajamung'unya maneno akieleza sababu za wakongwe wengi "kuzikwa kwa pamoja" kimuziki na mtazamo wake mkali kuhusu muziki wa sasa.
Tazama mwanzo hadi mwisho upate uhalisia wote bila chenga!
#Jafarai #BongoFlava #QChief #PFunkMajani #GlobalTVOnline #ExclusiveInterview
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com