NANI ALIMUUA NICO ZENGEKALA?
MAKTABA YANGU
0:00 / 0:00
NANI ALIMUUA NICO ZENGEKALA?
7 861 просмотр · 4 дн. назад
MAKTABA YANGU
2,26 тыс. подписчиков
7 861 просмотр · 4 дн. назад
NANI ALIMUUA NICO ZENGEKALA?
Ni mpenzi gani wa muziki wa dansi hata alikuwa shabiki hasimu wa Msondo ambaye hakupenda kuisikia sauti hii ya gharama kubwa, sauti adhimu ya nguli Nico Zengekala? Nani
Enzi hizo katikati ya miaka ya 80, wapenzi na mashabiki wa muziki wa dansi Tanzania masikio yao yalihisi na kubaini kuwa kuna kitu kipya kimeingia mjini kila waliposikia sauti hiyo adhimu ya Nico Zengekala ikirindima kunako mawimbi ya Redio Tanzania Dar es Salaam!
Hiyo ilikuwa ni katikati ya miaka ya 80 wakati kijana huyo mtanasahati na mwenye sauti ya gharama kubwa Nico Zengekala alipoingia viunga vya Dar es Salaam na kujiunga na Bendi ya JUWATA JAZZ BAND kisha akaleta balaa kubwa la sauti mjini!
Mwaka 1982, Nico Zengekala akiwa na umri wa miaka 17 tu, alikuja Tanzania pamoja na kundi la Bendi ya Vina-Vina na baadaye Les Cubano
Hatimaye Nico Zengekala akatua JUWATA Jazz na kuwika sana lakini kwa muda mfupi kabla ya kufariki dunia saa tatu usiku, Desemba 17, 1987
SWALI LIKAWA NANI KAMUUA NICO ZENGEKALA?
Endelea kufuatilia mkasa huu
ILANI
Picha halisi ya Nico Zengekala katika Makala hii ni kwa msaada wa Link: https://www.google.com/search?sca_esv...