TX MOSHI SAUTI INAYOISHI | SAFARI YA MAISHA YA GWIJI WA MSONDO NGOMA
IKUMBUKWE
0:00 / 0:00
TX MOSHI SAUTI INAYOISHI | SAFARI YA MAISHA YA GWIJI WA MSONDO NGOMA
14 301 просмотр · 2 дня назад
IKUMBUKWE
27,5 тыс. подписчиков
14 301 просмотр · 2 дня назад
TX Moshi William jina lililoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dansi Tanzania, lakini nyuma ya sauti iliyo waburudisha maelfu ya watu, kulikuwa na maisha yenye simulizi nzito,safari,maumivu na siri amabzo si wengi walizijua.
Katika simulizi hii,tunafuatilia safari ya TX Moshi William kutoka Hale, Korogwe mkoani Tanga, hadi kuwa moja ya majina yanayokumbukwa ndani ya Msondo Ngoma.
Miongoni mwa simulizi tunazogusa ni tukio la lililotokea akiwa bado kijana mdogo huko Hale, ambalo inaelezwa kuwa lilihusisha kifo cha rafiki yake baada ya tukio lausiku.
Tukio hilolilifuatiwa na TX kuondoka Hale na kuanza safari iliyompeleka kwenye maisha mapya na hatimaye kwenye muziki wa kitaifa.
Tunamsikia mwanawe, mchambuzi wa muziki na mama Asha Baraka, wakieleza TX walivyomjua na urithi aliouacha.
TX Moshi alifariki tarehe 29 Machi 2006, lakini nyimbo zake bado zinaendelea kusikika, huyu si TX Moshi tu, hii historia ya mwanamuziki ambaye sauti yake ilikataa kufa.
#TXMoshi #MsondoNgoma #MuzikiWaDance #Ikumbukwe