Meya aagiza 'Dada Poa' waliokamatwa waachiwe, atoa mbadala
Azam TV
0:00 / 0:00
Meya aagiza 'Dada Poa' waliokamatwa waachiwe, atoa mbadala
7 307 просмотров · 7 лет назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
7 307 просмотров · 7 лет назад
Madada poa waliokamatwa mkoani Tanga wakifanya biashara ya kuuza miili yao katika madanguro wapewa msamaha kwa agizo la mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Tanga, Selebosi Mustapha huku akiagiza wapewe elimu ili wajiunge kwenye vikundi kwa lengo la kupatiwa mikopo wafanye shughuli za ujasiriamali