Uteuzi wa Ndejembi ni kuaminika kwa vijana | UTV Tanzania
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Uteuzi wa Ndejembi ni kuaminika kwa vijana | UTV Tanzania
15 725 просмотров · 8 часов назад
UTV Tanzania
180 тыс. подписчиков
15 725 просмотров · 8 часов назад
Mchambuzi wa Masuala ya Siasa, Dkt. Faraja Kristomusi amesema uteuzi wa Deogratius Ndejembi kuwana Makamu wa Rais, kunaonesha utayari wa Rais Samia Suluhu Hassan kufanya kazi na vijana katika uongozi wa Serikali.
Kristomusi amesema uzoefu wa Ndejembi katika masuala ya siasa unaweza kuwa msingi wa kufikia matarajio yaliyopo katika nafasi hiyo iwapo ataendelea na mwenendo aliouonesha katika utendaji wake.
Uteuzi huo umefanyika baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kuandika barua ya kujiuzulu nafasi hiyo na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutangaza kumvua uanachama.