Перейти к содержимому

SHIGONGO: "Kilichonikomboa Mimi ni Kipaji Tu"

Global TV Online

0:00 / 0:00

SHIGONGO: "Kilichonikomboa Mimi ni Kipaji Tu"

4 490 просмотров · Трансляция закончилась 8 л. назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
4 490 просмотров · Трансляция закончилась 8 л. назад
SHIGONGO: "Kilichonikomboa Mimi ni Kipaji Tu" Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo, amefanya mkutano na wanafunzi wa chuo cha afya Muhimbili na kutoa elimu ya ujasiriamali kwao na namna ya kutimiza ndoto zao, huku akijitolea mfano yeye mwenyewe kuwa kilichomfanya afanikiwe ni kipaji tu na si vinginevyo. Aidha pia Shigongo amewapa ushauri na kuwahamasisha wanafunzi hao kujijengea dhana ya kusoma vitabu mara kwa mara na kama wanaona uvivu basi watumie hata mtandao wa kijamii wa Youtube, ili waweze kujifunza mambo mpya kila kukicha. FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM: