🔴 LIVE | IBADA YA JUMAPILI TRH: 18/10/2026. MADHARA YA KUDHARAU WITO.
Martin Luther School Dodoma
0:00 / 0:00
🔴 LIVE | IBADA YA JUMAPILI TRH: 18/10/2026. MADHARA YA KUDHARAU WITO.
317 просмотров · Трансляция закончилась 10 дн. назад
Martin Luther School Dodoma
608 подписчиков
317 просмотров · Трансляция закончилась 10 дн. назад
MARTIN LUTHER PRIMARY SCHOOL – SUNDAY LIVE WORSHIP
Karibu sana katika Ibada ya Jumapili ya Martin Luther Primary School – Dodoma, inayowakutanisha wanafunzi wa bweni pamoja na wafanyakazi wa shule katika muda wa kumwabudu Mungu, kusifu, kuomba na kujifunza Neno la Mungu.
📅 IBADA YA JUMAPILI
🕘 Muda: Saa 3:00 asubuhi – Saa 5:00 asubuhi
📍 Martin Luther Primary School – Dodoma, Tanzania
Katika ibada hii tutashiriki pamoja:
🙏 Maombi
🎶 Sifa na Kuabudu
📖 Neno la Mungu
Tunakuomba uungane nasi LIVE na uwe sehemu ya ibada hii pamoja na familia ya Martin Luther Primary School.
❤️ “Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.” – Mithali 22:6
📺 Martin Luther Primary School – High Quality Education for the New Generation
🙏 Mungu awabariki wanafunzi, wafanyakazi, wazazi na kila mmoja anayeshiriki nasi katika ibada hii.
Karibu tuabudu pamoja!
Karibu tumtukuze Mungu pamoja!
Karibu Martin Luther Primary School – Dodoma. 🙏