Перейти к содержимому

Episode 5: MAISHA BILA STRUGGLE — INAWEZEKANA?

The Hearts N Hustle

0:00 / 0:00

Episode 5: MAISHA BILA STRUGGLE — INAWEZEKANA?

175 просмотров · 2 недели назад
The Hearts N Hustle
148 подписчиков
175 просмотров · 2 недели назад
Soft Life ni maisha ya kuishi bila kulazimika kupitia kila kitu kwa shida. Ni kuwa na amani, usalama wa kifedha, muda wa kujipenda na uwezo wa kufurahia maisha bila kuishi kila siku ukiwa kwenye survival mode.😌🪭 Katika episode hii, tunazungumza kuhusu Soft Life ni nini hasa, kwa nini baadhi ya watu wanaweza kuishi maisha yasiyo na struggle kubwa, na kama kweli mtu anaweza kujenga maisha yenye utulivu bila kujisikia guilty kwa kutokuwa anahangaika kila siku. 💬 Je, Soft Life ni anasa au ni haki ya kila mtu kutamani maisha yenye amani? Tazama hadi mwisho, subscribe, na utuambie kwenye comments: Kwako, Soft Life ina maana gani? #SoftLife #BoraMaishaMterezo #Maisha #Mafanikio #MoneyTalk #Mahusiano #podcastshow #heartsnhustle