"WAKULIMA NA WAFUGAJI...
Bugoma TV
0:00 / 0:00
"WAKULIMA NA WAFUGAJI...
94 просмотра · 3 месяца назад
Bugoma TV
715 подписчиков
94 просмотра · 3 месяца назад
KATAVI: Kufuatia mvutano uliopo kati ya wakulima na wafugaji katika kitongoji cha Silimule kilichopo kijiji cha Mwenge halimashauri ya Nsimbo mkoani Katavi ambapo serikali iliwatengea maeneo kwa ajili ya shughuli zao lakini bado wanakutana huku wakidai eneo halitoshi mahitaji yao.
Kupitia hali hiyo mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amefika katika eneo hilo na kuwataka kuheshimu maamuzi ya serikali ya kutenga eneo la wafugaji na wakulima ambapo ameagiza mvutano huo kuisha haraka kwa kukubaliana na kuheshimu maamuzi ya serikali.