"ZINGATIENI MAADILI YA KITANZANIA....
Bugoma TV
0:00 / 0:00
"ZINGATIENI MAADILI YA KITANZANIA....
55 просмотров · 2 недели назад
Bugoma TV
715 подписчиков
55 просмотров · 2 недели назад
KATAVI: Mashirika yasiyokua ya kiserikali yametakiwa kufanya majukumu yao kwa kuzingatia maandiko ya kazi husika sanjari na kusimamia maadili ya mtanzania na kwa yeyote atakaye kiuka taratibu za nchi atachukuliwa hatua kali za kisheria.
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi Jamila Yusuph ambaye amewakilishwa na afisa tawala wa wilaya hiyo Fidendia Mwanakulya ambapo mashirika yasiyo ya kiserikali yameonywa kufanya kazi zinazovunja maadili ya mtanzania.