Перейти к содержимому

LIVE: KIBARUA KIZITO KESI YA LISSU! JAMHURI YAJIBU HOJA ZAKE MAHAKAMANI

HARAKATI TV

0:00 / 0:00

LIVE: KIBARUA KIZITO KESI YA LISSU! JAMHURI YAJIBU HOJA ZAKE MAHAKAMANI

13 386 просмотров · Трансляция закончилась 19 часов назад
HARAKATI TV
99,7 тыс. подписчиков
13 386 просмотров · Трансляция закончилась 19 часов назад
LIVE: KIBARUA KIZITO KESI YA LISSU! JAMHURI YAJIBU HOJA ZAKE MAHAKAMANI Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imeingia katika hatua nyingine muhimu baada ya upande wa Jamhuri kuanza kujibu hoja zilizowasilishwa na Lissu mbele ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Katika video hii tunachambua kwa kina hoja za upande wa mashtaka kuhusu kesi ya Tundu Lissu, ikiwemo kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, viini vinavyounda shtaka la uhaini, suala la utii kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, matumizi ya neno "umma" katika hati ya mashtaka pamoja na mjadala kuhusu neno "uttering". Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ameeleza kwa nini Jamhuri inaamini shtaka dhidi ya Tundu Lissu lina msingi wa kisheria na namna ambavyo upande wa mashtaka unavyodai umeweza kuthibitisha masharti ya kosa hilo. Katika uchambuzi huu pia tunaangalia hoja zilizotolewa awali na Tundu Lissu, ambaye amedai kuwa Jamhuri imeshindwa kuwasilisha ushahidi wa kuthibitisha shtaka linalomkabili. Je, hoja za Jamhuri zimejibu hoja za Lissu? Kwa nini neno "umma" limetumika kwenye hati ya mashtaka? Na hoja kuhusu "uttering" ina maana gani katika kesi hii? Tazama video hadi mwisho kwa uchambuzi wa kina wa mwenendo wa kesi hii na hoja zilizowasilishwa Mahakamani. Usisahau KUSUBSCRIBE, kubonyeza LIKE na kuwasha BELL ili kupata taarifa na uchambuzi zaidi kuhusu Tundu Lissu, Chadema, kesi ya uhaini, Mahakama Kuu Tanzania na siasa za Tanzania. #TunduLissu #KesiYaUhaini #Chadema #Jamhuri #MahakamaKuu #Tanzania #Lissu #SiasaTanzania #HabariTanzania #Uchambuzi