01. UTANGULIZI NA MAJINA MATUKUFU YA MTUME ﷺ | Al Akhy Abuw Raslaan Muwsa Kilongozi
Markaz ImaamMaalik
0:00 / 0:00
01. UTANGULIZI NA MAJINA MATUKUFU YA MTUME ﷺ | Al Akhy Abuw Raslaan Muwsa Kilongozi
258 просмотров · 1 мес. назад
Markaz ImaamMaalik
1,22 тыс. подписчиков
258 просмотров · 1 мес. назад
Katika Darsa Ya Seera ya Mtume Muhammad ﷺ – Darsa Na. 01, Mfundishaji Al Akhy Abuw Raslaan Muwsa Kilongozi حفظه الله ورعاه anaendelea kufafanua kitabu:
📖 ألفية العراقي في السيرة
Katika darsa hii tunajadili kwa kina nasabu tukufu ya Mtume Muhammad ﷺ na kuzaliwa kwake, pamoja na mambo muhimu yanayohusiana na mwanzo wa maisha ya Mtume wetu ﷺ.
🎙️ MADA: NASABU NA KUZALIWA KWA MTUME ﷺ
📚 KITABU: ألفية العراقي في السيرة
🎓 MFUNDISHAJI: Al Akhy Abuw Raslaan Muwsa Kilongozi حفظه الله ورعاه
📍 MARKAZ AL-IMAAM MAALIK – DODOMA
🔔 Subscribe kwenye channel hii na washa 🔔 ili kupata darsa nyingine za Seera, Aqeedah, Fiqh na masomo mbalimbali ya Kiislamu.
#SeeraYaMtume #Muhammadﷺ #NasabuYaMtume #KuzaliwaKwaMtume #DarsaYaSeera #AlfiyatulIraqi #AlfiyyatulIraqi #AlAkhyAbuwRaslaan #MuwsaKilongozi #MarkazAlImaamMaalik #DarsaNa01 #MasomoYaKiislamu #IslamicLecture #Seerah #Sirah #Dodoma